Ligi Kuu

Usizikose mechi hizi leo

Sambaza....

Achana na jezi zinazotangaza mbuga zetu kinamna tofauti, lakini tuangalie mechi hizi ambazo zaidi ya kuzifuatilia hapa zinaweza kukufanya urambe mkwanja pia.

Matajiri wa jiji la Dar es Salaam, wakiwa na matokeo mazuri katika mechi yao ya ufunnguzi wa Ligi kuu, wanaikaribisha Coastal Union ambayo ilipoteza mechi yake ya mwanzo dhidi ya Namungo FC ugeneni.

Hapa tunaipa nafasi Azam FC ushindi

Gwambina FC, jezi za pundamilia za Manchester United, zingewafaa sana msimu huuu nao. Hasa ukichukulia nao wana rangi mbili tu, Nyeusi na nyeupe. Watakuwa nyumbani kuikaribisha timu ngumu ya Kagera Sugar.

Mechi hii tuipa sare ya kutokufungana au magoli.

>>>Sasa ukitaka kuramba mshiko zaidi, bofya hapa uende ukajisajili.

Sambaza....