
Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania bara, kitaendelea tena ijumaa hii baada ya mapumziko ya takribani majuma mawili kupisha michuano ya kimataifa.
Ligi kuu hii licha ya changamoto za hapa na pale, imepata mwamko mkubwa katika kile tunaita, kupigania ushindi. Kwanza, Timu mbili zinatafuta kuwakilisha Taifa katika michuano ya kimataifa, Pili Timu moja inatafuta ubingwa ligi Kuu Tanzania bara pia kuna mafanikio binafsi na ya kitimu yakitafutwa.
Ijumaa hadi Jumapili
![]() ![]() 0 - 0Nangwanda N/A Ndanda FC vs Mbeya City |
![]() ![]() 0 - 0Mwadui Complex N/A Mwadui FC vs Ruvu Shooting |
![]() ![]() 2 - 1Azam Complex N/A Azam FC vs African Lyon FC |
![]() ![]() 0 - 0Sokoine N/A Tanzania Prisons vs Singida United |
![]() ![]() 3 - 0Uwanja wa Mkapa N/A Young Africans SC vs Alliance Sch |
![]() ![]() 0 - 0Karume N/A Biashara FC vs KMC FC |
![]() ![]() 0 - 0Mkwakwani N/A Coastal Union FC vs JKT Tanzania SC |
![]() ![]() 0 - 1Samora N/A Lipuli FC vs Kagera Sugar FC |
![]() ![]() 3 - 0Uwanja wa Mkapa N/A Simba SC vs Stand United |
![]() ![]() 1 - 0CCM Kirumba N/A Mbao FC vs Mtibwa Sugar |
Kwa upande wa mafanikio kitimu, timu zinatafuta ‘perfomance’ nzuri, ili kubaki katika ligi, na kwa upande wa wachezaji wanatafuta nafasi ya kuonekana ili wapige hatua katika maisha yao ya kandanda.
Tovuti yetu katika kutambua hayo yote, tunaendelea kuwapa motisha wachezaji kadri ya uwezo wetu ili kufanikisha malengo yao, na tumeaanza kwa kuwatambua wale wanaofunga mabao mengi ndani ya mwezi mmoja. Nani kuibuka kidedea mwezi huu baada ya David Ambokile Eliud mwezi uliopita? endelea kufuatilia tovuti hii.