Emmanul Okwi
Ligi Kuu

Simba watawala vita ya wafungaji bora

Sambaza....

Klabu ya Simba sc baada ya kupata ushidi mbele ya KMC leo katika uwanja wa CCM Kirumba wa mabao mawili kwa moja wamezidi kuisogelea Yanga iliyopo kileleni mwa Ligi Kuu Bara.

Simba ilipata mabao yake kupitia kwa washambuliaji wazoefu Emmanuel Okwi na John Bocco kwa mkwaju wa penati. Kwa mabao hayo ya Bocco na Okwi wanafanya wachezaji wa Simba wazidi kutawala katika chati ya ufungaji bora.

Tazama hapa chati ya wafungaji wanaoongoza mpaka sasa.

Na.MchezajiTimuNafasi
1rwaMeddie KagereMshambuliaji23
2tanSalimu S. AiyeeMshambuliaji18
3codHeritier MakamboMshambuliaji17
4tanJohn R. BoccoMshambuliaji16
5ugaEmmanuel A. OkwiMshambuliaji15
6tanDickson I. AmbundoMshambuliaji12
7zimDonald NgomaMshambuliaji11
8tanSaid DilungaMshambuliaji10

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.