Mabingwa UlayaMkeka

Wazee wa kubeti, tumewawekea mkeka wa leo!

Sambaza....

Bayern Munich vs Ajax.


BAYERN MUNICH KUSHINDA.


Mechi tano Bayern kashinda 3, sare moja na kafungwa 1. Ajax kashinda 4 kafungwa 1.

Bayern hawajawahi kupoteza dhidi ya Ajax kwenye uwanja wake wa nyumbani katika mechi nne zilizopita. Akifunga magoli 11 na kuruhusu 2.

Kwenye mechi za kwenye makundi Bayern Munich katika mechi 24 amefungwa mechi moja dhidi ya Manchester City 2013.

Ajax hajawahi kushinda mechi ya ugenini, tangu mwaka 2011.

Bayern Munich hajawahi kupoteza dhidi ya timu za Kiholanzi katika mechi Tisa zilizopita.

Ajax imepoteza mechi 4 katika mechi 5 zilizopita dhidi ya timu za Kijerumani.

TSG Hoffenheim vs Manchester City.


MANCHESTER CITY KUSHINDA.


OPTION YA PILI, MECHI HII ITAISHA KWA IDADI YA MAGOLI ZAIDI YA 3.

TSG Hoffenheim mechi tano imeshinda moja, ikatoka sare mbili na kufungwa mbili.

Manchester City kafungwa moja na kushinda nne.

Hii ndiyo itakuwa mechi yao ya kwanza kukutana kwenye mashindano yoyote.

TSG Hoffenheim mara ya mwisho kukutana na timu ya England ilipoteza dhidi ya Liverpool kwa jumla ya magoli 6-3 mwaka 2017/18 katika mchezo wa mtoano.

Man City wakiwa mazoezini

Manchester City hawajawahi kufungwa na timu za Ujerumani katika mechi tano zilizopita ambapo wameshinda nne na kutoka sare moja.

Kocha wa Manchester City amekutana na TSG Hoffenheim katika mechi 6 na kushinda tano huku akifungwa moja na katika mechi zote amefunga magoli kuanzia mawili.

Manchester City hajashinda katika mechi nne zilizopita za ligi ya mabingwa kwa hiyo mechi ya Leo itakuwa kama alarm kwao.

Lyon vs Shakhtar Donetsk


TIMU ZOTE ZITAFUNGANA.


Mechi tano zilizopita Lyon imeshinda mechi 3 na kutoka sare mbili huku Shakhtar ikiwa imeshinda nne na kutoka sare moja.

Wanakutana kwa Mara ya kwanza.Lyon katika mechi tatu zilizopita dhidi ya timu za Ukraine imeshinda tatu na kutoka sare moja.Timu za Ukraine tangu mwaka 1992 wameshinda mechi moja dhidi ya timu za kifaransa wakidraw mechi moja na kufungwa nane

Bale

CSKA Moscow vs Real Madrid


REALMADRID ATASHINDA.


Timu zote katika mechi tano zilizopita zimeshinda mechi 2 , sare mbili na kufungwa moja.

Real Madrid haijapoteza mechi yoyote dhidi ya timu za Russia katika mechi 6 zilizopita ambapo imeshinda mechi 4 kutoka sare mechi 2

CSKA Moscow imepoteza mechi moja tu katika mechi 7 walizokutana na timu za Hispania huku wakishinda mechi 3 na kutoka sare mechi 3.

Roma vs Viktoria Plzen


ROMA ATASHINDA


Mara ya mwisho kwa Viktoria Plzen kutembelea katika mji wa Roma walifungwa goli 4-1.

Katika mechi tano zilizopita ambapo Roma kacheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Stadio Olimpico wameshinda zote mara ya mwisho wakishinda dhidi ya Liverpool kwa magoli 4-1.

Timu kutoka Czech zimeshinda mechi moja tu dhidi ya timu kutoka Italy katika mechi 10 zilizopita. Roma hajawahi kupoteza mara mbili mfululizo katika mechi za klabu bingwa ulaya tangu mwaka 2014.

Katika mechi 6 zilizopita za klabu bingwa ulaya timu ya Viktoria Plzen imefungwa mechi 5 na kuruhusu magoli 16

Juventus vs Young Boys.


JUVENTUS ATASHINDA


Hii itakuwa mechi yao ya kwanza kukutana. Hii ni mechi ya tatu kwa Juventus kukutana na timu za Uswizi, ambapo msimu wa mwaka 2002/03 alikutana na FC Basel ambapo alifungwa mechi moja na kushinda mechi moja.

Juventus hawajafungwa katika uwanja wao wa nyumbani katika mechi 18 zilizopita. Ambapo wameshinda 10 na kutoka sare 8.

Dybala, Juventus

Katika mechi saba zilizopita za mechi za Ulaya, Young Boys hajashinda hata mechi moja akitoka sare mechi nne na kufungwa mechi tatu.

Kocha wa Juventus hajapoteza hata mechi moja kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya tangu mwaka 2012.

Manchester United vs Valencia


MANCHESTER UNITED KUSHINDA.


Mechi tano zilizopita Manchester United kashinda mechi mbili, katoka sare mechi mbili na kufungwa mechi moja. Wakati Valencia katika mechi tano zilizopita katika sare mechi tatu , kafungwa mechi moja na kushinda mechi moja.

Manchester United imepoteza mechi moja dhidi ya Valencia katika mechi nane zilizopita.

Valencia imeshinda mara moja tu ilipotembelea mara kumi katika ardhi ya England.

Katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford, Manchester United imepoteza mara moja katika mechi 18 za klabu bingwa Ulaya.

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho hajawahi kupoteza dhidi ya Valencia katika mechi mechi 10 .

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x