Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka barani ulaya bila shaka,utakuwa unaijua Barcelona, klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa barani ulayana duniani kwa ujumla.
UHISPANIA: Real Madrid, Atlético Madrid, Barcelona, Valencia UJERUMANI: Bayern München, Borussia Dortmund, Schalke, Hoffenheim UINGEREZA: Manchester City, Manchester United, Tottenham...