Blog

Yanga yasijili mbadala wa Juma Abdul!

Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa Mtibwa sugar ambae kwa sasa anakipiga nchini Thailand Mroki Mroki huenda akajiunga na klabu ya Yanga katika msimu huu wa usajili wa dirisha kubwa.

Hamis Mroki, wakati wa mchezo wa mechi ya hisani kati ya Alikiba na Samatta

Mroki Mroki anataka kusajiliwa na Yanga kama mlinzi wa kulia ili akasaidiane na Paul Godfrey wakati huu ambapo Juma Abdul hajajulikana hatma yake kama atabaki klabuni au ataachwa


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.