BlogYanga yasijili mbadala wa Juma Abdul!Thomas Mselemu03/06/2019Mroki Mroki anataka kusajiliwa na Yanga kama mlinzi wa kulia ili akasaidiane na Paul Godfrey wakati huu ambapo Juma Abdul hajajulikana hatma yake