Ligi Kuu

Yanga yawakalia kooni mashabiki wake!

Sambaza....

Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga imeonyeshwa kusilitishwa na vitendo vibaya vinavyofanywa na mashabiki wake pindi wawapo uwanjani wanapohudhuria michezo ya timu ya Wananchi Yanga sc.

Kupitia barua rasmi iliyotolewa na klabi ya Yanga imeonyeshwa kukemea vitendo vya mashabiki kugombana wenyewe kwa wenyewe lakini pia kuwazomea wachezaji wao.

Barua iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu Simon Patrick.

Lakini pia barua hiyo haikuishia hapo pia iliwaangazia waandishi wa habari haswa wa mitandaoni na kuwataka kufanya kazi zao kwa umakini.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.