Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Pesa zamrudisha Lamine Moro

Aliyekuwa beki kisiki wa Yanga ,Lamine Moro amerudi rasmi katika kikosi cha Yanga Baada ya kuandika barua ya kuachana na klabu hiyo kutokana na yeye kutolipwa mshahara ndani ya miezi miwili. Inavyoonekana Yanga na Lamine Moro wamekaa kwa pamoja wameyamaliza na Lamine Moro kurudi rasmi Leo. Haya yote yanatokea kujiandaa...
Blog

YANGA yamnasa Ditram Nchimbi

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ambaye aliyeipeleka Taifa Stars kwenye michuano ya CHAN, michuano ambayo inahusisha wachezaji wa timu za Taifa wanaocheza ligi ya ndani  Ditram Nchimbi amesajiliwa na Yanga. Yanga wamekubali kulipa kiasi cha milioni 20 kwa klabu ya Azam FC , mchezaji huyo alikuwa mchezaji wa...
Blog

Stars yapenya kwa mbinde !

  Timu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kufika katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Challenge baada ya kutoka suluhu na Sudan katika mchezo wa mwisho wa kundi B. Awali kabda ya mchezo Killi stars ilihitaji sare ya aina yoyote ile ama ushindi ili iweze kufuzu hatua ya...
Blog

Kwenye Giza la Yanga, Zahera alisimama kama taa!

  Muda umepita Baada ya ndoa ya Yanga na Mwinyi Zahera kuvunjika. Ndoa ambayo ilivunjwa wakati ambao hutarajii kuwa itavunjika, huu ndiyo huwa ni wakati mgumu sana kwa pande zote mbili, hasa hasa upande ulioachwa. Sikuona ajabu kwa Mwinyi Zahera kuzunguka kwenye vya Habari kuelezea taswira nzima ya kilichotokea. Nimekuelewa...
Blog

Msuva Njia nyeupe kwenda Benfica

Kwa mujibu wa mtandao wa Bingwa inaonesha ndoto za winga wa zamani wa Yanga, Simon Msuva za kucheza soka la kulipwa Ulaya, zinakwenda kutimia baada ya dili lake na klabu ya Benfica inayoshiriki Ligi Kuu Ureno, kukamilika. Msuva kwa sasa anakipiga katika timu ya Difaa El-Jadida ya Ligi Kuu ya...
Blog

Mzee AKILIMALI aaga DUNIA

  Taarifa zilizotufikia asubuhi hii ya Leo ni kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee na mwanachama mkongwe wa Yanga , Yahya AKILIMALI ameaga dunia katika hospitali ya wilaya ya BAGAMOYO mkoani Pwani. Tutazidi kukukuletea Habari zaidi kuhusu kifo hicho cha mwanachama huyo mkongwe na maarafu wa klabu ya Yanga, mabingwa...
Blog

Jurgen Klopp afungwa mpaka 2024

  Mwaka 2015 ndiyo mwaka rasmi uliompa uhuru Jurgen Klopp kuja katika klabu ya Liverpool. Klabu yenye walevi wa mpira wa miguu na bila shaka walipatana kwa sababu na yeye ni mlevi wa mpira wa miguu. Tangu mwaka 2015 , ni msimu wa mwaka 2018/2019 uliompa uwezo Jurgen Klopp kuipa...
Blog

Mrisho Ngassa naye kuikimbia YANGA

Baada ya wimbi la wachezaji wengi wa Yanga kuondoka katika klabu hiyo yenye masikani yake Kariakoo katika mitaa ya jangwani kutokana na ukata unaoikabili timu hiyo. Wachezaji kadhaa wameahaachana na timu hii Baada ya kutolipwa mishahara Yao ya miezi miwili iliyopita. Mpaka sasa hivi klabu hiyo imeshaachana na Sadney, Juma...
1 24 25 26 27 28 85
Page 26 of 85