
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ambaye aliyeipeleka Taifa Stars kwenye michuano ya CHAN, michuano ambayo inahusisha wachezaji wa timu za Taifa wanaocheza ligi ya ndani Ditram Nchimbi amesajiliwa na Yanga.
Yanga wamekubali kulipa kiasi cha milioni 20 kwa klabu ya Azam FC , mchezaji huyo alikuwa mchezaji wa Azam FC ambaye alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Polisi Tanzania.
Yanga wameshaachana na washambuliaji wao ambao waliwasajili msimu huu kama Sadney na Juma Balinya , kwa hiyo ujio wa Ditram Nchimbi ni kuja kuchukua nafasi ambazo ziliachwa wazi na washambuliaji hao.
Unaweza soma hizi pia..
Waandishi wa habari za michezo waigalagaza Unitalent.
Unitalent hawakuishia tuu kufungwa mabao mawili lakini pia waliteseka uwanjani haswa katika eneo la kiungo
Kwanini Boban Hakuyapenda Maisha Ya Ulaya…?
Yumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Manara: Tunataka kuujaza uwanja Jumamosi!
Msemaji huyo pia ameonyesha ni kwa kiasi gani wamedhamiria kuujaza uwanja huku akitangaza neema kwa mashabiki wa Yanga wataokata tiketi kwenda uwanjani.
Hivi ndivyo tulivyomuua Samatta wetu.
Mimi siyo mpenzi wa mpira wa miguu ila nilisikia Rafiki zake wakimwiita Ronaldinho Gaucho,