Wachezaji wa Yanga ndani ya uzi mkali kutoka GSM.
Blog

Pesa zamrudisha Lamine Moro

Sambaza....

Aliyekuwa beki kisiki wa Yanga ,Lamine Moro amerudi rasmi katika kikosi cha Yanga Baada ya kuandika barua ya kuachana na klabu hiyo kutokana na yeye kutolipwa mshahara ndani ya miezi miwili.

Inavyoonekana Yanga na Lamine Moro wamekaa kwa pamoja wameyamaliza na Lamine Moro kurudi rasmi Leo. Haya yote yanatokea kujiandaa na Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Simba ambao ni mchezo wa watani wa jadi ndiyo maana timu imeanza kujiimarisha.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.