Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Tuikumbuke Kesho tuliyoisahau kwa Goli la Ajib.

Jana ambayo ilitengenezwa na juzi mbovu, juzi ambayo hatukuruhusu akili zetu kuwaza vyema. Hatukuipa nafasi akili yetu kufikiria maisha ya baadaye ndiyo maana jana tuliishi kwenye nyumba mbaya na leo tunazidi kukaa kwenye nyumba mbovu. Nyumba isiyokuwa na msingi imara, msingi ambao hufanya ukuta wetu uanguke mara kwa mara na...
Blog

Miguu ya Kina Ngassa iliwekwa kwenye vichwa visivyojitambua!

Jioni nilikuwa nautamaduni wa kwenda kucheza mpira kila nikitoka shule. Utamaduni ambao ulikuwa unawaudhi sana wazazi. Kwao wao hawakuona umuhimu wa mimi kucheza mpira, kwa sababu hawakuona faida yoyote ya mpira. Tangu wakiwa watoto waliaminishwa mpira ni starehe, ni mchezo wa kujifurahisha tu na siyo biashara. Hawakuwa na imani kabisa...
Blog

Mabeki wetu mfuateni Abdi Banda muisaidie Taifa Stars!

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzânia "TaifaStars" kitakachocheza na Cape Verde kina mjumuisho wa wachezaji 9 wanaocheza ligi za nje ya Tanzania. Huenda kwa kipindi hiki kikosi cha timu ya Taifa kikawa na wachezaji wengi wanaocheza soka nje ya nchi!  Watatu wakiwa wanatoka Ulaya huku wengine sita wakitokea África....
Blog

Monaco kumtangaza Henry kama mrithi wa Jardim

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona Thierry Henry ametajwa kuwa miongoni mwa makocha wanaotajwa kurithi kiti cha kocha Leonardo Jardim pindi atakapofukuzwa katika klabu ya Monaco. Henry mwenye umri wa miaka 41 ambaye alikuwa katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Ubeligiji kama kocha Msaidizi kwenye michuano...
Blog

Mkude, Dante waachwa Stars!

Wakati kikosi cha Taifa Stars kikiondoka alfajiri ya leo kuwafwata Cape Verde kwao wachezaji watatu wameachwa jijini Dar és salaam. Kiungo wa Simba Jonas Mkude, beki wa Yanga Andrew Vicent na kiungo wa Azam FC Frank Dumayo wameachwa na kikosi cha Stars kutokana na kuwa majeruhi hivyo kushindwa kutumika katika...
BlogLa Liga

Vidal atoa la moyoni, hafurahii kukaa benchi.

Kiungo Raia wa Chile anayekipiga katika timu ya soka ya Barcelona na nchini Uhispania Arturo Vidal amesema hafurahii kuwekwa benchi katika mechi msimu huu toka ajiunge akitokea Bayern Munich. Vidal ambaye ameanza katika mechi mbili tu mpaka sasa pamoja na hilo pia amecheza akitokea benchi mara mbili, amesema jambo hilo...
Blog

Samatta wa Genk ndiye wa kuibeba Stars vs Cape Verde.

MIAKA miwili iliyopita timu ya Taifa ya Visiwa vya Cape Verde ilikuwa miongoni mwa Mataifa matatu bora katika viwango vya soka barani Afrika, na Ijumaa hii timu ya Taifa ya Tanzania ´Taifa Stars´ itaikabili nchi hiyo ndogo ya Magharibi mwa Afrika katika mchezo wa kundi la saba kuwania tiketi ya...
1 67 68 69 70 71 85
Page 69 of 85