Mechi tano zitakazokupa pesa Weekend hii.
Leicester City vs Everton TIMU ZOTE KUFUNGANA. Kwanini ? Mechi tano zilizopita za timu zote ni mechi moja tu ambayo timu zote hazijafanikiwa kufunga goli. Hii inaonesha safu zao za ushambuliaji siyo butu. Na katika hizo mechi tano zilizopita Leicester City imefanikiwa kupata cleansheets 2 tu na kufungwa magoli 7....