Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Wenger rasmi kurudi January 2019.

Aliyewahi kuwa kocha wa Arsenal kwa muda wa miaka 22 mfululizo, Arsene Wenger Leo hii ameweka wazi kuwa atarudi rasmi mwezi wa kwanza mwaka 2019. Arsene Wenger mpaka sasa hajaweka wazi kuwa atarudi kama nani kwenye tasnia hii ya mpira. Kuna habari nyingi ambazo zinamhusisha kocha huyu aliyepata mafanikio makubwa...
Blog

Nilimsamehe Samatta baada ya Dakika 90

Kitambaa cha unahodha kilikuwa katika mkono wake wa kulia, kila jicho lilimtazama yeye kama kiongozi, kiongozi ambaye atakuwa mfano kwa wengine waliopo uwanjani. Kiongozi ambaye atakuwa wa kwanza kupigania nchi na wa mwisho kutakata tamaa. Kiongozi ambaye miguu yake haikutakiwa kuwa na neno "kukata tamaa". Miguu yake ilitakiwa ipigane sana...
Blog

Samatta: Ni kawaida tu!

Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta, amenukuliwa akisema kukosa penati ni jambo la kawaida kwa mchezaji, na kwake yeye ilibidi afanye jitihada ili kufuta makosa yake. Samatta alikosa penati iliyopatikana katika dakika ya 21, baada ya Simon Msuva kudondoshwa eneo la hatari. Mpira wake uligonga mwamba na kurudi uwanjani....
Blog

Sura ya Nyoni inazeeka, Miguu inarudi utotoni

Rolling Stone ndiyo mahali sahihi ambayo unaweza kupataja kama chimbuko la Erasto Nyoni. Hapa ndipo yalikuwa machimbo sahihi yaliyotumika kuchimba hili dini. Dini ambalo limekuwa faida kwa muda mrefu katika taifa letu. Kuna wakati huwa tunalibeza sana, na kuna wakati mwingine dharau huvaa ndimi zetu na kufungua vinywa vyetu kwa...
Blog

Burudani kutoka Uwanja wa Taifa

Mpira ukamalizika kwa 2-0 Samata anatokacanaingia Mandawa Dakika 5 zimeongezwa Mpira unaendelea bado matokeo ni yaleyale, dakika ya 44 kipindi cha pili Mbwana Samatta ametolewa nje kwa maumivu, anatibiwa. Mpira burudani kabisa hapa uwanja wa Taifa, Amunike anajionnyesga utaalamu wake, Mashabiki hapa wanatamani Mkude angekuwepo... hata hivyo Fei Toto, Nyoni,Himid...
Blog

Nyoni atasaidia vipi Taifa Stars?

Jana beki wa Simba Erasto Nyoni alijumuishwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars". Uteuzi ambao unaonekana kuwa na nguvu katika maeneo yafuatayo. 1: ENEO LA BEKI WA KATI. Timu ya taifa ya Tanzania " Taifa Stars" katika mchezo uliopita ilionesha nidhamu mbovu katika eneo la...
Blog

Kessy na Ulimwengu kuikosa Cape Verde

Beki wa kulia wa Timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars" anayecheza soka la kulipwa nchini Zambia, Hassan Kessy na mshambuliaji wa timu ya taifa Thomas Ulimwengu anayecheza soka la kulipwa nchini Sudan wataikosa mechi ya marudiano dhidi ya Cape Verde itakayochezwa kesho Jumanne. Wachezaji hao wote wawili wana kadi...
Blog

Kumrudisha Nyoni Stars haitoshi.

MLINZI na ‘kiraka’, Erasto Nyoni amerejeshwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) ambacho kitashuka dimbani kuwavaa Cape Verde Island katika mchezo marejeano kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2019-fainali ambazo zitafanyika nchini Cameroon. Kuitwa tena kwa Erasto, upande wangu ni jambo...
Blog

Ally Ng’anzi wa Singida United apelekwa Ulaya.

Mchezaji kinda wa Timu ya soka ya Singida United Ally Hamis Ng'anzi anayecheza nafasi ya kati "Middlefield" amefanikiwa kupata timu ya kusakata kabumbu barani Ulaya katika nchi ya Jamhuri ya Czech kwenye klabu ya  ya MFK VySkov inayoshiriki ligi ya Moravian–Silesian Football League sawa na ligi daraja la tatu. “Hivyo...
Blog

Kumbe! Gibraltar wamepata ushindi wa kwanza baada ya mechi 22.

Nchi ndogo ya Gibraltar jana imeibuka na ushindi wa tatu toka ilipoanza kutambulika na shirikisho la soka Barani Ulaya (UEFA) baada ya kuichapa Armenia kwa bao 1-0 katika michuano ya UEFA Nations League. Nchi hiyo ndogo yenye idadi ya wakazi takribani 32,194 ilikuwa imecheza mechi 22 za ushindani bila kushinda...
1 65 66 67 68 69 85
Page 67 of 85