Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Hii hapa list ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d’Or.

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye majina 30 ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kandanda duniani yamewekwa wazi. Aliyechukua tuzo hii kwa mwaka jana ni Cristiano Ronaldo kutoka timu ya Taifa ya Ureno na Juventus (Kipindi hicho alikuwa Real Madrid). Sergio Agüero (ARG / Manchester City) Alisson (BRE / Liverpool)...
Blog

Arsenal watangaza kuingia mkataba mnono na Adidas.

Klabu ya soka ya Arsenal Jumatatu hii, imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo ya nchini Ujerumani Adidas, mkataba ambao unatarajiwa kuanza Julai mwakani. Adidas watachukua nafasi ya Puma ambao mkataba wao wa miaka mitano na klabu hiyo ya Kaskazini mwa London unafikia tamati mwishoni mwa...
Blog

Licha ya kesi ya Ubakaji, Ronaldo atajwa tuzo za Ballon d’Or.

Mshambuliaji wa Juventus na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amejumuhishwa kwenye majina ya awali ya wachezaji 10 ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa dunia za Ballon d’Or inayotolewa na Jarida maalumu la Ufaransa. Ronaldo ambaye ameshinda tuzo mbili zilizopita na tuzo tano kwa ujumla wake sawa na...
Blog

Mbappe: Nilipaswa kufunga mabao mengi zaidi.

Mshambuliaji kinda wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe amesisitiza kwamba alitakiwa kufunga mabao mengi zaidi katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Lyon jana Jumapili licha ya kufanikiwa kufunga mabao manne pekee yake. Mbappe mwenye umri wa miaka 19 amesema kama angekuwa makini kuanzia katika dakika za mwanzo basi angefunga mabao...
Blog

Bado naamini Ubora wa Ajib huonekana sana kwenye mechi ndogo!

Msimu jana Realmadrid ilibeba ubingwa wake wa tatu mfululizo wa ligi ya mabingwa ulaya. Ubingwa ambao aliubeba kwa kutumia nguvu kubwa sana kwa sababu ya aina ya timu ngumu alizokutana nazo kabla hajaenda kukutana na Liverpool katika hatua ya fainali. Inawezekana kabisa Liverpool hakuwa amepata vipimo vingi vizuri kama ambavyo...
Blog

Goli la ‘video’ la Ajib vs Mbao, ni mwanzo wa majibu ya fimbo tulizomchapa?

Kwanza unapaswa kumlaumu mlinzi wa Mbao Fc, Amos Charles . katika mazingira ambayo hakuwa katika presha yoyote anapoteza kujiamini- sijui kwanini wakati katika mtazamo wangu wa kimpira walitawala mechi ya jana katika uwanja wa Taifa. Kwa mlinzi ambaye timu yake ilicheza mbali na goli lake huku wakipokea mashambulizi machache yaliyokosa...
Blog

Thierry Henry na John Terry kuifundisha Aston Villa

Baada ya Jana John Terry kutangaza kustaafu kucheza soka la ushindani baada ya kucheza kwa miaka 23. Kuna taarifa zinadai ataendelea kubaki kwenye timu yake ya Aston Villa kama kocha msaidizi. John Terry, anatarajiwa kujiunga na Thierry Henry katika benchi la ufundi. Mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal, Barcelona na...
Blog

TFF wakanusha taarifa za kumfungia Haji Manara.

Shirikisho la kandanda nchini (TFF) limeikana sauti inayosambazwa mitandaoni akisikika Rais Wallace Karia akitangaza kufungiwa kwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa Klabu ya Simba Haji Sunday Manara. Taarifa ya TFF iliyosainiwa na Afisa habari Clifford Mario Ndimbo imesema sauti hiyo sio ya Rais Karia na yote ambayo...
Blog

TFF yatoa mwongozo kwa wanaotaka kwenda Cape Verde!

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) wametoa maelekezo kwa wanaotaka kuungana na Taifa starskuelekea katika mchezo wa ugenini dhidi ya Cape Verde! Bei za tiketi ya Ndege kwenda Cape Verde. Cape Verde vs Tanzania (Taifa Stars) Oktoba 12 Business Class 2000 USD (Kwenda na kurudi) Economy Class 1500 USD (Kwenda na...
1 68 69 70 71 72 85
Page 70 of 85