Sambaza....

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) wametoa maelekezo kwa wanaotaka kuungana na Taifa starskuelekea katika mchezo wa ugenini dhidi ya Cape Verde!

Bei za tiketi ya Ndege kwenda Cape Verde.
Cape Verde vs Tanzania (Taifa Stars) Oktoba 12
Business Class 2000 USD (Kwenda na kurudi)
Economy Class 1500 USD (Kwenda na kurudi)
Boeing 787-8 Dreamliner ATCL
Malipo yaandikwe kama ifuatavyo:

-Safari ya Taifa Stars Cape Verde
-Jina kamili

NBC Bank Tawi: Corporate
Jina la Akaunti: Sports Development Fund
Namba ya Akaunti: 011101009781
Unaweza kulipia kwa fedha ya Tanzania.

Kwa wanaotaka kuchangia chochote makampuni, Taasisi au mtu binafsi anaweza kuchangia kupitia Akaunti hiyo hiyo ya NBC.

Kumbuka unapojaza fomu ya malipo usisahau kuandika Safari ya Taifa Stars Cape Verde

Kwa mawasiliano zaidi baada ya malipo:
0762007777 Cliford Mario Ndimbo
0739462410 Jacqueline L.Kamwamu
0653564806 Josephine Nenile
0713380908 Aaron Nyanda

#Afcon2019ZamuYetu

Sambaza....