Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

CAF yaridhia Ghana Kuandaa AWCON.

Kamati Tendaji ya Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) imeamua kutoivua Ghana uwenyeji wa Michuano ya Mataifa Afrika kwa upande wa Wanawake (AWCON). Awali taarifa zilisema kuwa Ghana ilipokonywa uwenyeji baada ya kuonekana kusuasua katika kufanya maandalizi, lakini katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika Alhamis nchini Misri, kimeamua kutoa ivua...
BlogShirikisho Afrika

Kichuya, Nyoni watemwa Taifa Stars.

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars), Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya Cape Verde Oktoba 12 na 16, 2018. Katika kikosi hicho wachezaji watatu kati ya Sita wa Simba ambao waliondolewa kuelekea mchezo dhidi ya...
BlogUhamisho

Batambuze atua Gor Mahia, Manyika anakaribia Leopards

Wakati ripoti ya Singida United ikisema wachezaji waliojiweka kando klabuni hapo kwa madai ya kimaslai watarejea kuendelea na majukumu yao, mlinzi wa pembeni raia wa Uganda, Shafiq amejiunga na mabingwa mara nne mfululizo wa Kenya- Gor Mahia FC. Wakati mlinzi huyo bora wa kushoto katika ligi kuu Tanzania Bara msimu...
Blog

Makapu ni bora kuliko ‘Fei Toto’ vs Simba

SAID Juma Makapu aliingia uwanjani dakika za mwisho wakati Yanga SC ilipoendeleza ushindi wa asilimia 100 Jumapili iliyopita. Yanga ilishinda kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuichapa Singida United 2-0 katika uwanja wa Taifa na Makapu aliingia dakika kumi za mwisho kuchukua nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto.’ Feisal...
Blog

Eto’o: Messi ni mchezaji bora wa dunia wa muda wote.

Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samuel Eto’o amesema Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa soka wa muda wote licha ya kushindwa kutokea katika orodha ya majina matatu yanayowania tuzo za mwanasoka bora wa Ulaya na zile za shirikisho la soka ulimwenguni ‘FIFA’ zilizotolewa jana. Eto’o ambaye alicheza na Messi kati...
Blog

Masau Bwire aililia TFF,FIFA.

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting ya Mlandizi Mkoani Pwani, imelitaka shirikisho la soka nchini ‘TFF’, kuwapatia vibali wachezaji wanane wa timu hiyo ili waweze kucheza mechi za ligi Kuu baada ya kukosa leseni kutokana na matatizo ya kimtandao kati ya TFF na shirikisho la soka ulimwenguni ‘FIFA’. Msemaji wa...
Blog

Ukurasa wa Mwisho wa kitabu cha John Bocco utakuwa wa Majonzi.

Kuna hadithi nyingi sana ambazo huvutia na kusisimua kwa pamoja kipindi unazisoma. Na siku zote hadithi hubeba uzito mkubwa wenye mafundisho makubwa kwa jamii. Ndiyo maana waandishi wa vitabu duniani wanabaki kuwa watu wanaoheshimika zaidi. Wanauwezo mkubwa wa kung'amua mambo na wanauwezo mkubwa wa kuandika vitu ambavyo vinaweza kubaki kuwa...
1 70 71 72 73 74 85
Page 72 of 85