Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

FA yamkuta na hatia Frank Lampard.

Chama cha soka England kimemkuta na hatia Meneja wa klabu ya Derby County Frank Lampard kwa kosa la kumbwatukia mwamuzi katika mchezo wa ligi ya washindi (England Championship) dhidi ya timu yake na Rotherham United. Lampard pamoja na Mchezaji wake Tom Lawrence walitolewa nje kwa kadi nyekundu katika mchezo huo...
BlogMabingwa Ulaya

Kane: Sihitaji mapumziko, mbona nipo Fit!

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tottenham Hotspurs,  Harry Kane amesema anajisikia yupo fit pengine kuliko wakati wowote licha ya kuanza taratibu kwenye ligi kuu soka England . Kane ambaye msimu uliopita alifunga mabao 41, yakiwemo 30 ya kwenye ligi ya England, amefunga mabao mawili tu katika mechi tano ambazo...
Blog

Magoli 20 katika michezo tisa, tatizo Yanga ni beki au golikipa?

KATIKA michezo rasmi nane iliyopita Yanga SC imeruhusu jumla ya magoli 17 -wastani wa magoli mawili katika kila mchezo. Na magoli mengine matatu katika michuano ya SportPesa. Ni mchezo mmoja tu hawakuruhusu goli lolote. Hii inamaanisha timu hiyo inapaswa kujitazama na kujisahihisha katika ulinzi. Jukumu la ulinzi uwanjani ni kwa...
Blog

Kwa Ngassa Yanga ndio Real Madrid na Barcelona

Kuna kitu kimoja ambacho nakiamini sana na kinaweza kuwa na usahihi kwa asilimia kubwa sana kuwa Real Madrid na Barcelona ndiyo Hijja ya mpira ambapo kila mchezaji hutamani kwenda kufanya ibada ya mpira( Ku-Hijji). Hakuna mchezaji asiyetamani kuchezea hizi timu kwa sababu ya historia kubwa zilizobebwa kwenye uwanja wa Santiago...
Blog

Fabin aachia ngazi Asante Kotoko.

Kocha wa timu ya Asante Kotoko ya Ghana Paa Samuel Kwesi Fabin ameachia ngazi baada ya kudumu na mabingwa hao wa kihistoria wa Ghana kwa miezi saba. Katika Barua aliyoandika asubuhi ya Leo akitaja sababu kubwa ya kuchukua uamuzi huo ni mambo binafsi na kusema kuwa ni wakati Mzuri kuchukua...
Blog

Sunderland wavunja mkataba na Msenegal Papy Djilobodji.

Klabu ya soka ya Sunderland imevunja mkataba na mlinzi Papy Djilobodji baada ya kuchelewa kuripoti kambini pamoja na kurudi akiwa hayupo timamu kimazoezi (Kupungua uwezo wa kusaka kabumbu). Papy Djilobodji mwenye umri wa miaka 29 ambaye alikuwa akiichezea Dijon kwa mkopo msimu uliopita aliwahi kuomba kundoka klabu hapo na mwezi...
Blog

Everton, Gor Mahia kuumana mwezi Novemba.

Klabu ya Everton imethibitisha kuwa itacheza na Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki Novemba 6 mwaka huu katika uwanja wa Goodson Park mjini Liverpool, England. Everton wamethibitisha tarehe hiyo kwenye Mtandao wao wa Twitter. Gor Mahia walipata nafasi ya kucheza na Everton baada ya kuwafunga Simba ya...
1 72 73 74 75 76 85
Page 74 of 85