Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Mbwana Samatta, Funga, Funga, Funga.

Dunia inakimbia kwa kasi kuzunguka jua, majira yanabadilika kwa kasi kutokana na hili, na haijakwama kuzunguka kwenye mhimili wake pia na usiku umekua haukeshi ili kupata mchana. Kila kitu kimebadilika kuanzia tenkolojia mpaka tabia. Mfano wa enzi zetu ni kama umepitwa na wakati kwa sababu enzi zimebebwa na mabadiliko haya...
Blog

Tunakosea kutumia fimbo ya Djuma kumchapa Assumes

Bila shaka ameshafanikiwa kushika nyoyo za mashabiki wa Simba. Hili halina ubishi kwa sababu alifainikwa kwa kiasi kikubwa kuwapa ambacho kilikuwa burudani kwao. Aliwapa ushindi mkubwa!, hii ndiyo ilikuwa furaha ya mashabiki wa Simba. Timu ilicheza soka la kuvutia, kitu ambacho kwa mashabiki wa Simba ni kama utamaduni wao. Kwao...
Blog

Usiku wa Mabingwa Ulaya: Ronaldo kala umeme, Pogba atakataa!

Akiwa anacheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Ulaya na klabu yake mpya ya Juventus Christiano Ronaldo amepata kadi nyekundu katika dakika ya 29 ya mchezo. Lakini hiyo hakuifanya Juve wasitoke na ushindi mbele ya Valencia. Baada ya kuwafunga magoli mawili kwa sifuri. Paul Pogba akiwa nahodha wa...
Blog

Neymar anapiga hatua moja nyuma kuikimbia BALLON D’OR

Miaka kumi imepita, miaka ambayo ilitawaliwa na wafalme wawili wa mpira duniani. Wafalme ambao wametufanya tujivunie kufuatilia mpira. Wafalme ambao wameleta ladha tamu kwenye mpira wetu. Ladha ambayo imechagizwa kwa kiasi kikubwa na ushindani wao. Wamefanikiwa kuigawa dunia mara mbili, upande mmoja wa dunia ni wa Lionel Messi na upande...
Blog

Mechi zote za kwanza za Ronaldo katika timu alizowahi chezea.

Kwamsaada wa mitandao, tumekuwekea hapa orodha ya mechi zote za kwanza alizocheza katika vilabu vyote hadi sasa akiwa Juventus, ikumbukwe siku ya Jumatano Ronaldo atacheza mechi yake ya kwanza katika michuano ya klabu bingwa akiwa na Juventus. Mechi yake ya kwanza katika ligi ya ushindani Sporting CP 0-0 Internazionale Milano...
Blog

Kunyimwa mpira kwa Kitenge ni kichekesho kinachopaswa kuziamsha klabu ligi kuu na kuhoji kwa pamoja

Mchezo wa kwanza tu kuzalisha magoli mengi ndani ya dakika 90, Shirikisho la Soka nchini-TFF limeonyesha udhaifu mkubwa. Mshambulizi wa Stand United, Alex Kitenge ambaye alifunga magoli matatu kwa mpigo ‘Hat Trick’ wakati timu yake ilipochapwa 4-3 na Yanga SC siku ya Jumapili iliyopita ‘alinyimwa’ mpira aliopaswa kupewa na mwamuzi...
1 71 72 73 74 75 85
Page 73 of 85