Ligi Kuu

Ligi Kuu

Azam wampeleka Abdallah Kheri nchini Afrika kusini.

Klabu ya soka ya Azam imefikia maamuzi ya kumsafirisha beki wao Abdallah Kheri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kuumia goti lake wakati akifanya mazoezi na timu ya vijana. Afisa Habari wa Azam Jaffary Idd Maganga amesema maamuzi hayo yamefikiwa baada ya kutambua...
Ligi Kuu

Kabwili ni matokeo ya Johan Cruyff

Kuna wengine watakumbuka sanaa ambayo alikuwa akiionesha uwanjani, magoli aliyokuwa anayafunga yanaweza yakawa kumbukumbu kubwa vichwani mwa wengi. Kuna mengi sana ya kumkumbuka huyu gwiji wakati akiwa mchezaji lakini kuna mengi ya kuyatukuza ya huyu gwiji kipindi alipoamua kuwa kocha. Alitamani kubadilisha mpira wa miguu na kuna wakati alitamani dunia...
Ligi Kuu

Kandanda yasheherekea na Makambo

Tovuti yetu ta kandanda.co.tz imeendelea na utaratibu wake wa kusheherekea na wachezaji wa ligi kuu Tanzania bara, ambao wanafunga mabao mengi kwa Mwezi. Mwezi uliopita, Herieter Makambo ndiye aliibuka galacha na kuwa Galacha wa mabao akifungamana na Said Dilunga. Lakini Makambo yeye alifunga mabao muhimu yaliyoisaidia Yanga kukaa kileleni. Makambo...
Ligi Kuu

Kilio cha Zahera, sababu hii hapa.

Timu ya Yanga imerejea jijini Dar Es Salaam ikitokea mkoani Mbeya kupepetana na maafande wa Magereza, Tanzania Prisons na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1. Baada ya mchezo huo Yanga ilipitia mkoani Rukwa na kucheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Sumbawanga United na kuichapa goli 2-0. Kikosi kizima kimewasili...
Ligi Kuu

Biashara United wadhamiria kuivua nguo Yanga.

Wengi wameyazungumza haya ya kwamba Yanga ni timu ya kawaida lakini hali inakuwa tofauti hasa pale dakika 90 zinapokamilika, lakini inaonekana kama Biashara United ya Mara wamedhamiria kudhihirisha hili. Meneja wa Biashara United Amani Richard Josiah amesema kikosi chao kinataka kuonesha hilo kuwa Yanga ni timu ya kawaida pale watakapokutana...
Ligi Kuu

Ndikumana aweka wazi mpango mkakati mechi yao dhidi ya Azam

Nahodha wa kikosi cha KMC, Yusuph Ndikumana, ameitaja mechi dhidi ya Azam FC kama mechi muhimu zaidi kwao kwa sasa, hasa ukiangalia nafasi ambayo wapo na uhitaji wao alama tatu muhimu Ili kujinasua sehemu ambayo wapo. Ndikumana, mchezaji wa zamani LLB Academy ya Burundi na Mbao FC ya Mwanza amesema...
1 57 58 59 60 61 94
Page 59 of 94