Ligi Kuu

Ligi Kuu

Ndoa ya Masoud Djuma na Simba yavunjika Rasmi.

Rasmi Leo tarehe 8/10/2018 klabu ya Simba imesitisha mkataba na aliyekuwa kocha msaidiizi wa klabu hiyo Masoud Djuma Irambona. Akizungumzua katika makao makuu ya klabu ya Simba, kaimu Raisi wa Simba amedhibitisha kwa kusema kuwa; "Kwa niamba ya klabu sisi tunamshukuru sana kwa huduma zake, tumekaa naye vizuri na tumefanya...
Ligi KuuTetesi

Masoud Djuma kutua Yanga

Aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba Sc, ambaye hivi karibuni amekuwa akitajwa kuondoka katika klabu hiyo, Masoud Djuma sasa yametimia. Viongozi wa Simba pamoja na Masoud Djuma wamekaa kwa pamoja na kuvunja mkataba kwa makubaliano maalumu. Taarifa ambazo tovuti ya Kandanda imepata zinasema Masoud Djuma, kocha huyo aliyejibeba umaarufu...
Ligi Kuu

Ninja: Bado sijafika kiwango cha Cannavaro ila nitapambana.

Beki wa timu ya Soka ya Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema anaendelea kujifunza kutoka kwa wachezaji wenzake tangu alipojiunga na klabu hiyo miaka miwili iliyopita akitokea kisiwani Unguja. Ninja amesema pamoja na kutazamwa kama mrithi wa aliyekua nahodha na beki klabuni hapo Nadir Haroub Canavaro, lakini anaamini Bado kuna mambo...
Ligi Kuu

Zahera kuongeza wakimataifa wawili, Saba kufyekwa

Kocha mkuu wa timu ya Soka ya Yanga ya Mwinyi Zahera ameweka wazi mikakati yake ya kuongeza wachezaji kupitia dirisha dogo la usajili, hukua akiamini itamsaidia kufikia lengo la kurejesha heshima ya kutwaa ubingwa wa Tanzania bara ambao kwa sasa unashikiliwa na Wekundu Wa Msimbazi Simba SC. Zahera amesema lengo...
Ligi Kuu

Washambuliaji wa Lipuli isaidieni timu yenu.

Kwa hali ya kawaida timu ambayo haifungwi au inashinda kwa ushindi finyu sana ikiwa na mchezo mzuri kabisa, unaweza kujua wapi pa kuanza kuangalia na kupamulika zaidi. Katika michezo 7 ya ligi kuu Lipuli imeshinda mechi moja, sare tano na kupoteza moja. Katika hizi mechi amefunga magoli matatu na kufungwa...
Ligi Kuu

Pale kichuya alipokumbushia kichwa cha Dante

Mchezaji wa klabu ya Simba, Ramadhani Kichuya, leo katika ukurasa wake wa Instagram alitoa nafasi ya kuulizwa maswali na kujibu 50 ya kwanza. Moja ya wauliza maswali hayo alikuwa ni Mohamed Hussein 'Tshabalala', ambae alimuliza Kichuya kama hajisikii vibaya katika timu nzima ya Simba kuwa yeye ndio mtu mfupi zaidi...
1 66 67 68 69 70 94
Page 68 of 94