Ligi Kuu

Ligi Kuu

Yanga yawatolea tamko Kotei na Wawa

Mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, ulimalizika kwa sare tasa. Kama ilivyokawaida baada ya mchezo huu mkubwa hutokea menfi uwanjani na nje ya uwanja. Katika matukio mengi yaliyojitokeza achilia mbali lile la Ibrahim Ajib kuanzisha mpira kwa kutoa nnje, mchezo huu ulikuwa faulo nyingi, ambazo nyingin zilipelekea mpira...
Ligi Kuu

JKT Tanzania ni moto wa kuotea mbali!

Timu ya soka inayomilikiwa na jeshi la Kujenga Taifa JKT Tanzania imeendeleza kugawa vipigo katika michezo inayopigwa katika uwanja wao wa nyumbani baada ya leo kuiadhibu African Lyon ya Dar es salaam. Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Generali Isamunyo bao lá Abdulrahmani Mussa katika dakika ya 50  lilitoshakuwapa...
Ligi Kuu

Kuporwa Unahodha kulimjenga Jonas Mkude.

Masikio yetu yanapenda vingi sana vya kufurahisha, na muda mwingi masikio yetu hupenda kutabasamu. Ni ngumu sana kuweka tabasamu kwenye sikio lako kwenye dunia hii ambayo ina watu wengi ambao hawana upendo kwako. Muda mwingi wanawaza kukuumiza hata siku ambayo wakikuona uko sehemu ambayo ni juu hutamani kukushusha chini ambapo...
Ligi Kuu

Tff yatoa ripoti ya mapato ya mechi ya Watani!

Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limetangaza kiasi cha fedha kilichopatikana jana katika mchexm wa Simba na Yanga uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Taarifa kutoka TFF "Mchezo72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) kati ya Simba na Young Africans uliochezwa Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa...
Ligi Kuu

Ni aibu kwa kiongozi kuuficha ukweli kwenye mambo ya kishirikina!

Sikukuu ya Simba na Yanga jana ilimalizika. Ushindani ulianza nje ya uwanja kabla hatujahamia ndani ya uwanja. Sehemu pekee ambayo ukweli huwa haujifichi. Huwezi kuficha ukweli ndani ya uwanja kwa sababu ndiyo sehemu pekee ambayo nyeusi huonekana nyeusi na nyeupe huonekana nyeupe. Ndiyo sehemu ambayo mara nyingi huwa inatuhukumu sisi...
Ligi Kuu

Mambo matano niliyojifunza katika mchezo wa Simba na Yanga!

1: Tuna safari ndefu sana kuifikia pepo kama bado tunaamini giza lina nafasi kubwa katika mpira wetu. Ni ngumu kujenga timu yenye ushindani kimataifa kwa kuamini katika nguvu za giza kama ndiyo njia sahihi kwetu sisi kutupa ushindi. 2: Inawezekana Beno Kakolanya kaimbwa sana kuliko mchezaji yeyote katika mechi ya...
1 67 68 69 70 71 94
Page 69 of 94