Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Ligi KuuUhamisho

Singida utd yashusha wawili wa Kimataifa!

Klabu ya soka ya Singida utd ya mkoani Singida imeendelea na harakati zake za usajili na kufanikiwa kuwanasa Wazambia wawili. Singida utd imewaongeza Wazambia wawili katika nafasi ya kiungo na ya ushambuliaji ili kujiimarisha katika Ligi Kuu Bara na michuano ya Sportpesa Supercup. Singida utd imemsajili Jonathan Daka anacheza nafasi...
Uhamisho

Simba sc waanza usajili waanzia Ivory Coast!

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi  Simba SportsSClub ambao leo wanaanza michuano ya Kimataifa wameanza usajili wao wa dirisha dogo kwa kushusha ndugu yake Didier Drogba. Simba  imemsajili Zana Oumar Koulibaly kama mlinzi  kulia kutoka katika klabu ya Asec Memosa ili kuziba nafasi ya Shomari Kapombe aliepata majeraha. Zana Koulibaly mwenye...
Ligi KuuUhamisho

Mwingine asainishwa na Azam fc.

Baada ya kufanikiwa kupata saini ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa  klabu ya Azam fc imefanikiwa kumuongezea mkataba mwingine mpya  kiungo mshambuliaji wake  Joseph Mahundi. Joseph Mahundi amekubali kuendelea kubakia katika viunga vya Azam Complex mpaka mwaka 2020 baada ya kukubali kusaini kandarasi nyingine ya miaka miwili. Ikumbukwe...
Ligi KuuUhamisho

Coastal Union yamrudisha Mr. Freekick

Klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga imefanikiwa kukiongozea nguvu kikosi chake baada ya kumrudisha mchezaji wao wa zamani Miraji Adam. Coastal Union imefanya usajili huo ili kuimarisha safu yake ya ulinzi na sasa Miraji Adam anakwenda kuungana na kina Bakari Mwamnyeto, Adeyum na Mbwana Kibacha katika eneo hilo. Miraji...
Ligi KuuUhamisho

Azam fc inazidi kupukutika!

Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kupunguza wachezaji wake baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza, haswa katika eneo lá ushambuliaji. Mwalimu Hans Plujim ameamua kuwatoa wachezaji wake wawili wa eneo la ushambuliaji kwa mkopo kwenda kwenye vilabu vingine vya Ligi Kuu Bara...
Uhamisho

Mpepo aondoka rasmi Singida Utd

Taarifa amabazo tovuti ya kandanda imezipata na za uhakika ni kuwa aliyekuwa Mshambuliaji wa Singida Utd, Eliuter Mpepo ameondoka rasmi katika klabu ya Singida Utd. Mpepo ambae hapo kabla aliichezea Tanzania Prisons, amejiunga na timu Buildcon ya Zambia kwa mkataba mwaka moja. Buildcon ligi daraja la kwanza nchini Zambia, na msimu uliopita...
Ligi KuuTetesiUhamisho

Niyonzima Kurudi Yanga

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa leo tarehe 15 November. Klabu ya Simba imepokea majina ya wachezaji watano kutoka kwa kocha mkuu wa timu hiyo Patrick Assumes ambao wanatakiwa kupelekwa kwa mkopo katika timu mbalimbali. Niyonzima Moja ya majina ambayo yapo kwenye orodha hiyo ni jina la kiungo wa klabu...
Ligi KuuUhamisho

Mwashiuya naye kuondoka Singida United.

Kiungo Mshambuliaji Geoffrey Mwashiuya amesema ameshapata ofa kutoka vilabu vitatu mpaka sasa ambavyo vinataka huduma yake katika kipindi hii cha Dirisha dogo la Usajili. Mwashiuya amesema kati ya vilabu hivyo kimoja ni kutoka nje ya nchini na kwamba kutolipwa stahiki zake na waajiriwa wake wa sasa ambao ni Singida United...
BlogUhamisho

Jakaka Tuyisenge ni usajili stahili Simba, si Ulimwengu.

KUMSAINI, Thomas Ulimwengu kama nyongeza katika safu ya mashambulizi ni ´kamari´ itakayowagharimu sana Simba SC kama malengo yao ni kufanya vizuri katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2018/19. Wakati wa usajili wa dirisha kubwa katikati ya mwaka huu, Simba iliwasaini washambuliaji wanne wapya. Marcel Kaheza ambaye alifunga magoli 15 katika...
1 14 15 16 17 18 22
Page 16 of 22