Sambaza....

Taarifa amabazo tovuti ya kandanda imezipata na za uhakika ni kuwa aliyekuwa Mshambuliaji wa Singida Utd, Eliuter Mpepo ameondoka rasmi katika klabu ya Singida Utd.

Mpepo ambae hapo kabla aliichezea Tanzania Prisons, amejiunga na timu Buildcon ya Zambia kwa mkataba mwaka moja. Buildcon ligi daraja la kwanza nchini Zambia, na msimu uliopita ilimqliza katika nafasi ya saba.

Tovuti ya kandanda inamtakia mafanikio mema huko aendako.

Kikosi cha Buildcon ambacho Mpepo atajiunga nao.

 

Sambaza....