Ligi KuuKocha Simba afichua jinsi watakavyobeba ubingwa kesho!Thomas Mselemu4 years agoKuhusu hali ya kikosi kocha Sven amesema wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na wapo tayari kwa mchezo isipokuwa kiungo.
Ligi KuuMorrison na Mkude kumbe lao moja na TFF!Thomas Mselemu4 years agoWachezaji wawili nyota wa Simba na Yanga leo wamepokea hukumu zao kutoka Shirikisho la soka nchini TFF kutoka katika kamati ya nidhamu.
Ligi KuuKocha Simba awaita mashabiki Mbeya!Thomas Mselemu4 years agoKiungo huyo wa zamani wa Simba amesisitiza mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kutoa sapoti kwa wachezaji.
Ligi KuuBocco: Mashabiki njooni uwanjani muone!Thomas Mselemu4 years agoTunafahamu mechi zitakuwa ngumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu katika kipindi hiki ligi ikielekea ukingoni lakini.
StoriSaid Ndemla amefufuka amekua Paul Scholes mpya!Tigana Lukinja4 years ago, kama alipata kumuona labda kuna vitu alicopy kwake, kwa kile nilichokiona kwake jana akili yangu ilihama na kudhani Scholes amerejea kucheza soka.
BlogMguu wa Sharaf Shiboub unafaa kuchezea YangaMartin Kiyumbi4 years agoJezi ambayo imemfunika pia Sharaf Ali Shiboub , kiungo hodari na mahiri kutoka Sudan.
BlogYanga wachague kushindana na TP Mazembe au Simba!Martin Kiyumbi4 years agoPicha hii inachorwa kwa wino wa matumaini , wino ambao umejaa tabasamu kubwa sana kwa wana Yanga , tabasamu ambalo lina matumaini ya kuwa kesho yao ni bora .
Ligi KuuKagere: John Bocco ndie muongoza njia.Thomas Mselemu4 years agoamesema Bocco ni mtu mpole, imara na anajua anachokifanya na amekuwa akimkubali ndani na nje ya uwanja.
Ligi KuuMkude aanza mazoezi, nafasi yake apewa Ndemla!Thomas Mselemu4 years agoKwa mujibu wa daktari, Mkude hakuwa amepata jeraha kubwa kama ilivyodhaniwa na wengi na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili ili kupona kabisa.
Ligi KuuSimba hawajalipwa mishahara-MASAU BWIREMartin Kiyumbi4 years agoJana kulikuwepo na mchezo ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba SC na Ruvu Shooting, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa...