Simba wameonyesha matamanio na kiungo huyo Mkongo huku msemaji wao Hajji Manara akikiri hadharani kuhusudu uwezo wake akisema ni moja ya "box to box midfielder.
Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya mabao mawili kwa mawili baada ta Yanga kufuta uongozi wa mabao mawili ya Simba ndani ya dakika 5.
Ama kwa hakika kwa Feisal amefufuka wakati muafaka haswa katika kulekea mchezo dhidi ya Simba na hivyo kumpa mwalimu uchaguzi mwingi katika eneo la kiungo.