Ligi Kuu

I lovee youuu Yangaaa!!

Sambaza....

Mchezo wa Yanga na Simba umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi tena mbele ya Rais wa Jamuhuri yacMuungano ya Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa CAF Ahmad Ahmad ambae yupo nchini kwa ziara ya siku 3.

Bao la Yanga katika mchezo huo limefungwa na Benard Morrison kwa mkwaju wa adhabu nje kidogo ya eneo la hatari la Simba katika dakika ya 45 ya mchezo.

Tazama hapa picha za matukio mbalimbali katika mchezo huo.

 

Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya Clatous Chama
Meddie Kagere akitafuta njia za kumpiga chenga Japhary Mohamed.
Luis Miquissone alithibitiwa na wachezaji wa Yanga.
Japhary Mohamed akiruka kuupiga mpira mbele ya Clatous Chama.
Ditram Nchimbi akiwania mpira na Pascal  Wawa.
Clatous Chama akiondoka na kijiji.
Lamine Morro alimthibiti Shomari Kapombe.
Papy Kabamba Tshishimbi.
Francis Nyambura Kahata.

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.