Kuelekea mchezo huo tunakuletea wachezaji wanaotarajiwa kuanza na kukutana na upinzani wa hali ya juu siku ya mchezo huo. Miongoni mwa vita hizo ni hizi hapa:
Wakati aa enzi zake Athumani Machupa alikua mshambuliaji hatari akiitumikia Simba huku akiwa na muunganiko wa hatari na Emmanuel Gabriel Mwakyusa "Batgol".