Yes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.