Fiston Mayele alithibitiwa na mlinzi wa Ruvu Shooting.
Ligi Kuu

Goli la Ruvu halikua halali?

Sambaza....

Achana na matokeo ya suluhu katika dimba la Lake Tanganyika kati ya Ruvu Shooting na Yanga swala kubwa lililoteka hisia za watu wengi ni goli la Ruvu Shooting lililofungwa dakika za mwanzoni kabisa.

Ruvu walipata goli dakika ya nne kwa mpira wa kona uliopigwa na Abdulrahman Mussa lakini mwamuzi msaidizi Hamis Changw’alu alinyoosha kibendera chake juu na kuashiria mfungaji Saadat Nanguo ameotea.

Baada ya mchezo kumalizika kila mtu apikua na maoni yake kuhusu goli lile lililokataliwa. Msililize hapa Tigana Lukinja akilielezea kwa ufasaha tukio lile.

YouTube player

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.