Ligi Kuu

Simba ilinyimwa penati halali?

Sambaza....

Baada ya mchezo wa “Derby” kumalizika kwa sare ya bila kufungana kumekua na mijadala ya hapa na pale kuhusu matukio yaliyotokea katika mchezo huo. Miongoni mwa mijadala hiyo ni pamoja na tukio la Mohamed Hussein katika eneo hatari la Yanga.

Mohamed Hussein “Tshabalala” alianguka akiwa anakokota mpira mbele ya Yanick Bangala na Djuma Shabani akiwa anaelekea kwenye lango la Yanga kumsabahi Djugui Diara.

Mpwa Tigana Lukinja alikuepo uwanjani na aliliona tukio lile kwa ufasaha kabisa. Bofya hapo chini kusikiliza maoni yake.

Nini mtazamo wako kwa mwamuzi Ramadhani Kayoko aliechezesha mchezo huo, aliumudu mchezo inavyostahili?


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.