Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.
Hapa ndipo alipofanikiwa, aliweka sumu kali sana. Sumu ambayo iliwafanya wachezaji wawe na uwezo wa kupigana sana.Leo hii vizazi vinaikumbuka Fc Porto ya Jose Mourinho. Timu ambayo ilikuwa haitazamwi kwa kiasi kikubwa.
penati aliyomfunga Aishi Manula katika mchezo wa ngao ya jamii, mwaka 2017? “PANENKA PENALTY GOAL” licha ya Simba kuibuka na ushindi lakini penati ya fundi huyo ilionekana kuwa bamba wengi