Kabla ya Mechi.














Matokeo
| Timu | Magoli | 
|---|---|
| Yanga SC | 0 | 
| Kagera Sugar FC | 3 | 

Yusuph Mhilu akimtoka Makame 
Yusuph Mhilu (Kagera) akizidi kumtoka Makame (Yanga) 
Ditram Nchimbi (Kushoto) wa Yanga akiwania mpira mbele ya Juma Nyosso (Kulia). 
Yusuph Mhilu akiangalia mpira ambao aliupiga kuelekea golini. 
Shikalo, Golikipa wa Yanga akiupokea mpira ambao tayari umeshagusa nyavu zake. 
Shikalo, akishika kiuno kuashiria ‘Mbombo ngafu” 
Mecy Mexime, Kocha wa Kagera akisisitiza jambo. 
“Mpira uende wapi hapo?” Niyonzima akipamna hapo 
Mkwasa na Luckwa mbali wakizoza jambo huku Mecky akifuatilia mchezo 
Kapama akimiliki mpira huku Lamine Moro akihakikisha hapiti. 
Nchimbi na Seseme wakiwa katika harakati za kuwania mpira 
Haendi mtu popote hapoooo! 
Yondani akiwahi mpira kuuzuia.. 
Pale yondani aliposhindwa kumiliki mpira hali ilikuwa hivi 
Yikpe (Kushoto) akiwania mpira 
Mwaita Gereza, akimwaga maji ..watu wa mpira wanavyosema 
Makame akijianda kurusha mpira 
Sabato akipambana na Mapinduzi 
Mwamba wa Ziwa, Mrisho Ngassa,akiangalia kwa mbali yanayoendelea. 

