
Haendi mtu popote hapoooo!
Kabla ya Mechi.
Juma Nyoso, akitupa Bibs baada ya kumaliza mazoezi
Shikalo Niyonzima Lamine Yikpe Ngassa Makame Kocha Mkwasa
Luc Eymael, Kocha wa Yanga akiongea kabla ya mechi Mecky Maxime, akiongea kabla ya mechi.
Kikosi cha Kagera Sugar kilichoaanza dhidi ya Yanga. Kikosi kilichoaanza dhidi ya Kagera Sugar
Yusuph Mhilu akimtoka Makame Yusuph Mhilu (Kagera) akizidi kumtoka Makame (Yanga) Ditram Nchimbi (Kushoto) wa Yanga akiwania mpira mbele ya Juma Nyosso (Kulia). Yusuph Mhilu akiangalia mpira ambao aliupiga kuelekea golini. Shikalo, Golikipa wa Yanga akiupokea mpira ambao tayari umeshagusa nyavu zake. Shikalo, akishika kiuno kuashiria ‘Mbombo ngafu” Mecy Mexime, Kocha wa Kagera akisisitiza jambo. “Mpira uende wapi hapo?” Niyonzima akipamna hapo Mkwasa na Luckwa mbali wakizoza jambo huku Mecky akifuatilia mchezo Kapama akimiliki mpira huku Lamine Moro akihakikisha hapiti. Nchimbi na Seseme wakiwa katika harakati za kuwania mpira Haendi mtu popote hapoooo! Yondani akiwahi mpira kuuzuia.. Pale yondani aliposhindwa kumiliki mpira hali ilikuwa hivi Yikpe (Kushoto) akiwania mpira Mwaita Gereza, akimwaga maji ..watu wa mpira wanavyosema Makame akijianda kurusha mpira Sabato akipambana na Mapinduzi Mwamba wa Ziwa, Mrisho Ngassa,akiangalia kwa mbali yanayoendelea.
Unaweza soma hizi pia..
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.
Kola na mfupa uliomshinda Mayele!
Licha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
George Mpole anaishi ndoto zetu!
juhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.