Tetesi

Ajibu ni mali ya Simba sc!

Sambaza....

Mtaalamu wa kuchezea mpira na mkali wa “assist” Ibrahim Ajib Migomba “Ibra Cadabra” kuanzia msimu ujao huenda akahamia upande wa pili kulekulee alipotoka.

Habari za chini ya capeti Ibrahim Ajib tayari ameshasaini kandarasi ya awali na Wekundu wa Msimbazi Simba ili kuitumimia msimu ujao.

Ajibu aliondoka Simba na kuelekea Yanga huku akipishana na kiungo fundi Haruna Niyonzima akielekea Simba sc.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.