Bocco
Ligi Kuu

Bocco amuwahi Makambo!

Sambaza....

Nahodha wa Simba sc John Bocco leo amefanikiwa kufikisha jumla ya mabao 16 katika Ligi Kuu Bara inayoelekea ukingoni.
Baada ya kufunga bao katika ushindi wa mabao mawili kwa sifuri sasa Bocco amefikisha mabao 16 na hivyo kumfikia Makambo na Salim Aiyee wenye mabao 16 katika chati ya wafungaji mabao.

Tazama hapa msimaml wote wa wafungaji katika TPL!

Wafungaji Bora TPL

Na.MchezajiTimuNafasi
1rwaMeddie KagereMshambuliaji23
2tanSalimu S. AiyeeMshambuliaji18
3codHeritier MakamboMshambuliaji17
4tanJohn R. BoccoMshambuliaji16
5ugaEmmanuel A. OkwiMshambuliaji15

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.