Mo Salah
EPL

BREAKING NEWS: Salah ndie mchezaji bora wa Africa 2018.

Sambaza....

Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2018.

Katika kinyang’anyiro hicho Salah amempiku rafiki yake Sadio Mane ( Liverpool) na Pierre Aubameyang wa Arsenal.

Tuzo hiyo, inamfanya Salah achukue mara ya pili mfululizo.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.