Baadhi ya wachezaji wengine wa Ulaya wanaocheza klabu kubwa na maarufu barani humo ambao wataungana na Sakho katika kikosi hicho ni pamoja na Gana Gueye, Khalidou Coulibaly, Pape Sarr na Keprin Diatta.
Hapa Liverpool ndipo walipoingia kwenye mtego kwa kuzidiwa idadi ya viungo badala ya kuwa 3v3 inakuwa 4v3 ndipo game ilipohamia kwao hasa mpango wa kwanza
Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi
Inaripotiwa kuwa, zidane ana mipango ya dhati ya kukisuka kikosi cha Los Blancos kilichopoteza mataji kadhaa hadi sasa chini ya wakufunzi Julen Lopetegui na Santiago Solari.