Ronaldinho: Natamani ningecheza na Mo Salah!
Gaucho mshindi wa Ballon'dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Waafrika vinara wa mabao katika Ligi ya Mabingwa!
mabao 13 kati ya Mane yametoka katika hatua ya mtoano, ambayo ni zaidi ya Lionel Messi tangu kuanza kwa msimu wa 2017-18.
Mbwana Samata anawakimbiza Waafrika Ulaya!
Tazama hapa top 5 ya Waafrika wenye magoli mengi barani Ulaya
BREAKING NEWS: Salah ndie mchezaji bora wa Africa 2018.
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka...
Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool. “Salah Out”
Hizi ni habari mbaya, si nzuri hata kidogo kwa mashabiki na klabu ya Liverpool kwa ujumla, hii ni baada ya kinara wa ufungaji katika klabu hiyo Mohamed Salah kuzawadiwa mkwaju wa penati baada ya kumdanganya muamuzi katika mchezo wa ligi uliochezwa jana dhidi ya New Castle United ya Rafa Benetiz.
Tatizo lilianza kwenye chozi la Salah.
Mwanzo mwa msimu ulianza na tabiri nyingi kuhusu maisha ya Zinedine Zidane pale Santiago Bernabeau. Wengi waliamini miguu yake haiwezi...
Salah atengua Saumu, kisa Real Madrid
Daktari wa klabu ya soka ya Liverpool Ruben Pons amethibitisha kuwa mshambuliaji Mohamed Salah hatofunga Ramadan leo wala kesho katika...
Ni Real Madrid tena? Au Liverpool?
Ulevi wa timu hizi kwenye Ligi ya Mabingwa utatia ugumu wa mchezo? Hapana shaka kwa sababu zinakutana timu ambazo ulevi...
Owen: Salah anastahili tuzo ya Ballon d’Or
Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or na mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya England...
Tulimsubiria Neymar, Akaja Salah
Kivuli cha Lionel Messi ndicho kilichomtoa, hakutaka kusimama kwenye kivuli cha mtu mwingine ilihali kivuli chake kikiwa kimesinyaa. Mawazo yake...