Timu nyingi zinanitaka – MOLINGA
Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga ambayo jana aliachana na timu yake hiyo amedai kuwa ni kawaida kwake yeye...
Baada ya Molinga na Bocco kutupia tazama vita ya ufungaji bora ilivyonoga!
Michezo mitano ilipigwa jana katika viwanja mbalimbali nchini katika muendelezo wa Ligi Kuu Bara huku mshambuliaji wa Biashara United akiingia katika vitabu vya rekodi msimu huu.
Mwakyembe amtaja Molinga, alisifia jeshi!
wale ni wanajeshi lazima kikosi kitakachopambana nao kiwe na nguvu muda wote.
David Molinga ampigia goti Mkwasa
Baada ya kutolea halo ya kutoelewana kati ya kocha msaidizi wa Yanga na mshambuliaji wa Yanga, David Molinga , jana...
Molinga na Luc Eymael waenda Shinyanga kumvaa Mkwasa
Kwa mujibu wa David Molinga , Charles Boniface Mkwasa hampendi David Molinga . Kauli hii aliitoa David Molinga baada ya...
Luc Eymael ampiga mkwara Mkwasa, amrudisha Molinga
Kipindi ambacho haya yanafanyika kocha mkuu wa Yanga , Luc Eymael alikuwa nje ya nchi.
Kisa cha Molinga na Mkwasa hiki hapa!
Tangu muda huo David Molinga amekuwa na mtazamo kuwa Charles Boniface Mkwasa hampendi David Molinga
Hakuna wa kuniweka benchi -Molinga
Nawakaribisha kwani ushindani ambao tutauonesha mazoezini nina imani nitapata nafasi ya kuendelea kucheza mbele yao.
Mkwasa hanipendi – DAVID MOLINGA
Kumekuwa na hali ya kutoelewana kati ya mshambuliaji wa Yanga kutoka Congo , David Molinga pamoja na kocha msaidizi wa...
Kwa mazoezi haya ya Molinga , Kagere ajipange !
Mshambuliaji wa Yanga, David Molinga, alitabiriwa na kocha wake wa zamani Mwinyi Zahera kuwa ni lazima afunge mabao 15 msimu...