Donald Ngoma atemwa na Azam Fc
Aliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye kwa kipindi hiki alikuwa kwenye timu ya Azam FC ameachana na klabu...
Kwa misimu miwili wageni wanakimbiza ufungaji!
Huku namba wachezaji wa kigeni waliofanya vizuri katika ufungaji wa mabao wakiwa wameondoka nchini kina Emmanuel Okwi na Heritier Makambo.
Azam Fc ni mabingwa wa fainali ya shirikisho
Azam Fc itawakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Shirikisho Afrika
Bocco awapiga chini kina Ngoma na Adam wa Prisons.
John Bocco aliukosa mchezo mmoja dhidi ya Ruvu Shooting kutokana na kuwepo kambi ya timu ya Taifa.
Baada ya Ngoma na Bocco kutupia tazama hapa vita ya ufungaji bora ilivyonoga!
Tazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?
Donald Ngoma apata dili jipya!
Mshambuliaji mrefu na msumbufu mbele ya lango Donald Ndombo Ngoma leo amemwaga wino na kusaini dili jipya .
Idd Cheche: Tumejipanga.
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaingia vitani kuwania pointi tatu muhimu kwa kuvaana na JKT Tanzania,...
Rasmi: Ngoma kurejea uwanjani, mechi dhidi ya Lipuli.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Azam FC Donald Ngoma huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kunako michuano ya ligi...
Ngoma kuanza kugawa dozi hizi karibuni.
Mshambuliaji wa wanarambaramba Azam FC Mzimbabwe Donald Ngoma anatarajiwa kurejea dimbani hivi karibuni licha ya taarifa ya klabu hiyo kuthibitisha...
Donald Ngoma rasmi Azam!
Baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Yanga kutokana na kutokuitumikia kwa muda mrefu mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ni...