Tetesi

Ettiene Ndairagije kutua Azam

Sambaza....

Kocha wa KMC Etiene Ndairagije huenda wakati wowote akatangazwa na matajiri wa jiji Azam fc kuwa kocha wao mkuu kwenda kuchukua nafasi ya Hans Plujim aliefukuzwa.

Etienne (Kulia) akiwapa maelekezo wachezaji wa KMC katika moja ya mechi za Ligi Kuu 2018/19

Bado taarifa rasmi haijatoka lakini kuna kila dalili Ettiene akaenda Azam fc huku pia akibeba na wachezaji wake aliokua nao Mbao fc na KMC


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.