
Baada ya Yanga kuachana na wachezaji 14 mahasimu wao wakubwa Simba nao wanampango wa kuachana na baadhi ya wachezaji katika kikosi chao.
Taarifa za ndani zinaainisha kuwa wachezaji saba ndani ya kikosi cha Simba wataachwa kutokana na sababu mbalimbali.
Taarifa hii imeanisha wachezaji ambao wataachwa ni Ibrahim Ajib ambaye kabla ya kuja Simba aliwika akiwa katika klabu ya Yanga, wachezaji wengine ambao inasemekana wataachwa ni Haruna Shamte , Shiza Kichuya , Rashid Juma, Yusuph Mlipili, Sharaf Shiboub, Tairon Da Silva
Unaweza soma hizi pia..
Tigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!
Yes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare
Habari ikufikie Mwananchi!
Kikosi cha Yanga kipo kambini kamili gado tayari kabisa kumvaa Mnyama katika mchezo wa kisasi kwa upande wao
Jumamosi tulivu ya Sato na Sangara.
Makocha wote wawili ni waumini wa mifumo yenye idadi kubwa ya viungo pale kati ili kuleta usawa mzuri kwenye kushambulia na kijihami
Usichokijua katika safari ya Simba kombe la FA!
Simba imecheza michezo mitatu ikiwa mwenyeji dhidi ya Dar City, JKT Tanzania na Pamba Fc. Sio tu imepata ushindi lakini pia..