Heritier Makambo "Makambovic"
Tetesi

Makambo huyoo anaondoka Yanga!

Sambaza kwa marafiki....

Mshambuliaji raia wa Congo Heritier Makambo anaekipiga klabu ya Yanga yuko mbioni kuikacha klabu yake ya sasa ya Yanga na kuelekea nje ya nchi.

Kwa habari za ndani Heritier Makambo ameuzwa kwa dau la nono ambalo huenda likainufaisha klabu ya Yanga huku timu anayokwenda ikiwa haijawekwa wazi bado.

Endelea kufuatilia tovuti kupata habari zaidi…….

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.