Ligi Kuu

Matukio yote ya Simba day katika picha!

Sambaza kwa marafiki....

Tazama hapa picha na za matukio yote katika Tamasha kubwa la  Simba day katika uwanja wa Benjamin Mkapa!

Mo Dewji alipowasili uwanja wa Mkapa tayari kabisa kufanya mahojiano na vyombo mbambali vya habari
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Mo Dewji.
Diamond Platinum “Simbaa” na mwenyekiti wa Simba Mohamed Dewji
Mwanamuziki Diamond Platnum akitumbuiza
Mo Dewji akisakata rumba jukwaani
Manara
Benard Morrison akishangilia goli lake la kwanza akiwa na jezi ya Simba, pamoja na kiungo Said Ndemla
Ndemla
Bwalya
Bocco
Hassan Dilunga akimgalagaza mchezaji wa Vital’o
Ndemla na John Bocco
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.