Mbwana Samatta anayekipiga kwa mafanikio katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelegiji.
Blog

Mbwana Samata anawakimbiza Waafrika Ulaya!

Sambaza kwa marafiki....

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kwa sasa ndie Mwafrika mwenye mabao mengi barani Ulaya huku akiwambiza Mastar wakubwa wanaosakata kabumbu barani humo.

Samata amewazidi kupachika mabao wachezaji wakubwa kama Sadio Mane, Mo Salah(Liverpool), Pierre Aubameyanga (Arsenal), Kevin Prince Boateng (Barcelona). Mpaka sasa Samata ana mabao 31 katika michuano yote huku akiwa kinara wa mabao katika Ligi ya Ubeligiji akiwa na mabao 22.

Tazama hapa top 5 ya Waafrika wenye magoli mengi Ulaya.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.