Sambaza....

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba sc  Elius Maguri huenda akajiunga na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC).

Elius Maguri ni kama wamemalizana kila kitu na KMC huku likisubiriwa dirisha dogo la usajilii lifunguliwe ili aweze kuitumikia timu yake hiyo mpya. Na leo alikuepo jukwaani kushuhudia mchezo kati ya KMC na MbeyaCity.

Ikumbukwe Maguri alijiunga na AS Kigali ya Rwanda lakini mambo hayakwenda sawa na kuamua kurudi nchini.

Sambaza....