Ligi KuuUhamisho

Mwingine asainishwa na Azam fc.

Sambaza....

Baada ya kufanikiwa kupata saini ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa  klabu ya Azam fc imefanikiwa kumuongezea mkataba mwingine mpya  kiungo mshambuliaji wake  Joseph Mahundi.

Joseph Mahundi amekubali kuendelea kubakia katika viunga vya Azam Complex mpaka mwaka 2020 baada ya kukubali kusaini kandarasi nyingine ya miaka miwili.

Ikumbukwe Joseph Mahundi mchezaji wa zamani wa Majimaji fc  alijiunga na Azam fc akitokea kwa wabishi wa Jiji la Mbeya,   Mbeya City fc.

 

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x