Bocco akipokea tunzo
Ligi Kuu

Nani ni nani katika Mo Simba Awards

Sambaza....

Mabingwa wa nchi Simba Sports Club leo walikua na hafla fupi ya kuepana tuzo na kupongezana baada ya msimu huu kumalizika.

Katika hafla hiyo iliyoambatana na futari imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na watu maarufu huku mgeni rasmi akiwa ni Spika wa Bunge la Jamuhuri La Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.

Washindi wa tuzo hizo ni:

1. Kipa Bora- Aishi Manula
*Washirki walikua Deo Dida, Aishi Manula

2. Beki Bora- Erasto Nyoni
*washiriki walikua Pascal wawa, Shomari Kapombe, Erasto nyoni

3. Kiungo Bora- James kotei
*Washiriki walikua Jonas Mkude, Mzamiru yassin, James kotei

4. Mshambuliaji bora- John Bocco
*Washiriki walikua John bocco, Meddie kagere, Emmanuel Okwi

5. Mchezaji bora wa wachezaji- Erasto Nyoni

6.Mchezaji bora mwenye umri mdogo- Rashid Juma

*Washiriki walikua Paul Bukaba, Rashid Juma, Adam Salamba

*Washiri walikua- Cletus chama, John Bocco, Meddie kagere

Hajji Manara na Mo Dewji(Mdhamini wa tuzo hizo)

7.Mchezaji bora wakike- Mwanahamis Omar

8. Tuzo ya mfungaji bora wa msimu -Meddie kagere

9. Goli bora la msimu – Cleoutus Chama vs Nkana Rangers

*Washiriki walikua John Bocco, Meddie Kagere

10.Tuzo ya heshima- Azim Dewji

11. Mchezaji bora wa msimu- Meddie Kagere
*Washiriki walikua – Cletus chama, John Bocco, Meddie kagere


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.