Sambaza....

Emmanuel Anorld Okwi “emmosting” ni kama gari limewaka hivi kutokana na kasi yake ya ufungaji wa mabao katika Ligi Kuu Bara.

Emmanuel Okwi anakua mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika mchezo mmoja “hatrick” katika klabu ya Simba msimu huu na wapili katika Ligi Kuu Bara baada ya Alex Kitenge wa Stand United kufanya hivyo katika mchezo dhidi ya Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Takwimu za magoli


Mwezi wa Kumi

Katika Timu

Wafungaji Bora Msimu Huu

Kwa mabao matatu yanamfanya Emmanuel Okwi kufikisha jumla ya mabao saba mpaka sasa huku akiwa sawa na Eliund Ambokile wa MbeyaCity mwenye mabao saba pia akiwa kileleni kwenye chati hiyo.

Katika chati ya ufungaji mabao ya mwezi October Emmanuel Okwi ndie kinara mpaka sasa akifwatiwa na Said Dilunga wa Ruvu Shooting mwenye mabao matatu!

Sambaza....